Tuesday 4 June 2013

KAGASHEKI ATOA MILIONI TANO KUSAIDIA UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA SHULE YA MSINGI MAFUMBO




SHULE YA MSINGI MAFUMBO



walimu wa shule ya msingi mafumbo na wajumbe wa bodi wakimsubiri mh kagasheki








mh kagasheki akiwasili katika viwanja vya shule ya msingi mafumbo








mh kagasheki akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi mafumbo


















wakazi wa kashai


















mwenyekiti wa kata ya kashai akifungua mkutano













mzee kamareki katibu wa ccm mkoa mstaafu nae aliokuwepo


















wadau wa maendeleo nao walikuwepo



wanafunzi wa shule ya msingi mafumbo



mchungaji james













bwana sued na salum wakifurahi na camera



mh kagasheki alieleza kuwa suala la maendeleo halihusiani na dini,maendeleo yana husu watu,aliwataka wananchi kuwapuuza wote wanaeneza udini miongoni mwa wananchi,mh kagasheki amechangia shilingi milioni tano kusaidia ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa



katikati ni mh diwani wa kata ya miembeni richard mwemezi


ilikuwa shangwe baada ya kutamka milioni tano


walimu wa shule ya msingi mafumbo walitoa zawadi kwa mh kagasheki


wanafunzi pia walionyesha furaha yao kwa mbunge kagasheki kwa kuwajari




mchungaji james nae alichangia laki tano kumuunga mkono mbunge



mnec abdu kagasheki nae alichangia laki tano







muganyizi nae alimuunga mkono mh kagasheki kwa kuchangia laki tano,wadau wengine pia walichangia kumuunga mkono mh kagasheki,zaidi ya milioni 22 zilitolewa na mh kagasheki katika ziara yake ya siku moja katika kata tatu za kahororo.hamugembe na kashai ..

No comments:

Post a Comment