Tuesday 4 June 2013

KAGASHEKI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA KATIKA KATA YA KAHORORO,HAMUGEMBE NA KASHAI NA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO ZAIDI YA MILIONI 22

 waziri wa maliasili na utalii,ambae pia ni mbunge wa jimbo la bukoba mjini balozi khamis sued kagasheki amefanya ziara ya siku moja katika kata za kahororo,hamugembe na kashai ,kabla ya kuanza ziara yake aliyoambatana na viongozi wa chama  cha mapinduzi manispaa bukoba alipata nafasi ya kukutana na kamati ya siasa ya wilaya,mbali ya mambo mengi yaliyozungumzwa kuhusiana na kero mbalimbali za wananchi mh mbunge aliwataka viongozi kuwa na mshikamano na kujipanga katika chaguzi sa serikali za mitaa zinazotarajiwa kufanyika mapema 2014,na kuhakikisha chama cha mapinduzi kinashinda,baada ya hapo mh kagasheki alianza ziara katika kata za kahororo,hamugembe na kashai. katika kata hizo mh kagasheki alikuta kero mbalimbali,aliweza kuchangia kiasi cha milioni 22 katika miradi mbalimbali ya jamii.
 mwenyekiti wa ccm manispaa  ya bukoba yusuf ngaiza akifungua kikao cha kamati ya siasa kabla ya mbunge kuanza ziara yake
                                                                wajumbe wa kamati ya siasa

 wakazi wa kata ya kahororo wakimsikiliza balozi kagasheki,katika kata hiyo alielezwa tatizo la barabara,tatizo la upimaji wa viwanja maeneo ya wananchi

                                                  mnec abdul kagasheki(mwenye miwani)
                                         


                                   mh kagasheki alitembelea shule ya mugeza mseto ni shule ya watoto walemavu wa viungo,walemavu wasioona na maalibino


 mdau ukifika katika shule hii, unayo kila sababu ya kumshukuru mungu wewe uliekamilika viungo vyako

                                                                              picha ya pamoja

                                 kipofu akiandika maneno mbalimbali kwa kutumia kifaa maalumu


                                      binti huyu hana mikono anaandika kwa kutumia mguu
                                 kijana mlemavu hana vidole lakini anaweza kuandika
                                           mh kagasheki akiwa na watoto walemavu


                       mh diwana murungi kichwabuta akiwa na mh mbunge wakisikiliza kwa makini
 mh mbunge akiwa anaelekea mugeza sekondari njiani alikuta kizuizi cha wanafunzi  wa mugeza viziwi na waliitaji msaada wa nauli ya  vijana wanakwenda kwenye mashindano  ya mpira
dodoma na aliwachangia milioni moja
 mwl amin said alimkumbusha mbunge ahadi ya vijana viziwi kutembelea bunge,mh kagasheki ameridhiwa waende dodoma kipindi hiki cha bunge la bajeti likiendelee
                                              hawa ni wanafunzi viziwi  shule ya mugeza
                                mwl mkuu wa mugeza mseto akionyesha furaha yake
 mwl mkuu akipokea shilingi milioni moja kwa aili ya kusaidia wanafunzi viziwi wanaokwenda dodoma kwenye michezo
k


No comments:

Post a Comment