Saturday 8 June 2013

MJANE WA MAREHEMU BENARD MULOKOZI KATIBU ALIEFANYA KAZI WIZARA ZOTE KIPINDI CHA NYERERE MA ANGELA MULOKOZI APATA NAFUU

 ma angela mulokozi akiwa katika hospital ya ndolage bukoba mjini akitabasamu na camera yetu
 mama alishindwa kujizuia hospital pale mwanae mpenzi ben mulokozi alipowasili hospital kuja kumuona akitokea dar
                                                         mama nimefika usiwe na wasiwasi



                                     ma angela mulokozi akimuelezea mwanae jinsi anavyojisikia

ben mulokozi mtu mmoja watu kumi akiwa na mtu wake wa karibu sana ndugu basibila
ben akiwa hospital ya ndolage na vijana wake wote, bushira,shafi na mtu mzima basibira

kilichofuata ben mulokozi alimuomba mama yake wagonjwa wote waliomo wodini mchana wa leo anaomba wagaramikie chakula na ndugu zao,kuonyesha furaha ya kumkuta mama yake anaendelea vizuri
                                                        mama alimkubaria na kufurahi
lakini pia ben mulokozi alikutana na baba mkwe wake hapo hospital mzee kardis rafael wa kamachumu
                                                             ni nje ya hospital ya ndolage bukoba mjini
                                                                     unapokuwa na baba mkwe

                                      mmiliki wa jamco blog na wadau hospitalini ndolage
                             jamcobukoba.blogspot.com inakupa pole mama yetu mpendwama angela muloki

No comments:

Post a Comment