Tuesday 4 June 2013

TATIZO LA VYOO SHULE YA MSINGI KASHABO KUWA HISTORIA BAADA YA KAGASHEKI KUTOA MILIONI TANO ZA UJENZI

 NI MADARASA YA SHULE YA MSINGI KASHABO AMBAYO UJENZI WAKE MCHANGO MKUBWA ULITOLEWA NA MH KAGASHEKI
 katibu mwenezi wa ccm wilaya bukoba mjini akitambulisha viongozi walioambatana na mh mbunge kagassheki
                                                      wadau mbalimbali
 mh diwani wa kata ya hamugembe robert katunzi akitoa taarifaya kero ya vyoo katika shule ya msingi kashabo
                                                           wazazi wakisikiliza
                                              wanafunzi awa shule ya msingi kashabo

 mwenyekiti wa kata ya hamugembe ccm muhaji kachwamba akimueleza mh mbunge tatizo la vyoo shuleni hapo
 baada ya yote kuzungumzwa alisimama mh mbunge kwanza kwa kuonyesha masikitiko yake na kuilaumu manispaa ya bukoba kwa kutotambua suala hili muhimu sana la huduma ya vyoo katika shule ya msingi kashabo,mbunge alisema pamoja na uhaba wa pesa ,bado suala hili ni la muda mrefu kwa nini hawalipi kipaumbele,ndipo aliposema yeye atafanya kama mbunge wa jimbo anatoa milioni tano ili vyoo hivyo vijengwe



 mfanyabiashara  na wakala wa serengeti  muganyizi alimuunga mbunge kwa kuchangia mifuko kumi ya cement
                                              mh kagasheki alimshukuru ndugu muganyizi
                                                     wazazi walifarijika sana kwa kitendo alichokifanya mh kagasheki

No comments:

Post a Comment