Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji
kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) katika ukumbi wa A I C C jijini
Arusha leo 21 Oktoba 2013.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji
kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt
Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo Oktoba 21 2013
katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na wasanii wa ngoma ya kimasai waliokua wakitumbiza nje
ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya kufungua
mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini
mwa Afrika (SABA) leo 21 Oktoba 2013.
No comments:
Post a Comment