Thursday 13 June 2013

Thursday, June 13, 2013 HABARI:NELSON MANDELA ALIKIKARIBIA KIFO RIPOTI TOKA KWA MADAKTARI

 

Thursday, June 13, 2013



Ni siku nne zimepita imetokea hali ya sintofahamu baada ya mpiganiaji Uhuru wa South Africa
Babu Nelson Mandela kukimbizwa hospitalini baada ya hali yake kuwa mbaya na kuwekwa
kwenye chumba cha watu mahututi.....
Ripoti kutoka kwenye hospital aliyolazwa Rais huyo wa zamani wa Taifa hilo inasema
usiku wa kuamkia leo siku ya Alhamisi majira ya saa 8 usiku hali ya Mandela ilibadilika
na Team ya madaktari walikusanyika na ilionekana Mapigo ya Moyo kuacha kufanya kazi
kwa muda na Figo kushindwa kufanya kazi kwa dakika zisizopungua 10....
baada ya kupigania
uhai wake hali ilirudi kuwa ya kawaida na kuendelea kupata matibabu chini ya madaktari
Bingwa...
Pia Raisi wa sasa wa South Africa Bwana Jacob Zuma ameongea na kusema ''Naiamini
team ya madaktari inayomuangalia mzee wetu na nina imani Mungu atamuepusha
na mabaya yote na kurudi kwenye hali yake kama kawaida...,nampenda mzee mandela,
wote tunampenda mandela na dunia nzima inampenda kwahiyo kwa pamoja tuungane kumuombea...!!

No comments:

Post a Comment