Wednesday 12 June 2013

WAANDAAJI WA REDD'S MISS KAGERA 2013 (LWERU ENTERTAINMENT) WATINGA KASIBANTE RADIO 88.5FM BUKOBA LEO

kulia ni omary bakari,kapten mwasa aliekaa,faustin ruta na abdulazack wakiwa ofisi za kasibante redio leo kuwaabarisha wananchi kuhusu redd's miss kagera 2013 inayofanyika 15-06-2013 lina's
Bw. Jamali Kalumuna akizungumza na kuweka wazi kuhusu shindano hilo linalotarajiwa kufanyika tarehe 15.6.2013 kwenye ukumbi wa Lina's uliopo mjini Bukoba.Bw. Jamali Kalumuna(kushoto) akizungumza kuhusu ujio huo wa Redd's Miss Kagera itakayofanyika Jumamosi Tarehe 15.06.2013 leo kwenye ofisi za redio Kasibante fm(88.5) mjini Bukoba
Watangazaji wa Radio Kasibante Fm 88.5 wakiwa kazini leo hii
kushoto ni omary bakari na kapten mwasa wakijibu maswali ya wasikilizaji wa kasibante redio kuhusiana na redd's miss kagera 2013 siku ya jumamosi 15-06-2013
Capt. Mwassa Winton


Capt. Mwassa Winton  akizungumzia Shindano hilo la Redd's Miss Kagera

Kulia ni Bw. Faustine Ruta mwendeshaji wa mtandao wa Bukobasports.com naye akiwakilisha kama mdhamini wa Redd's miss Kagera akiwa naye kwenye radio ya kasibante fm Bukoba leo hii Asubuhi.
Patakuwa hapatashi siku hiyo!!!

No comments:

Post a Comment