| Chakula cha pamoja na warembo wa Miss lake zone 2013 mara baada ya ziara ya kutembelea ofisi za jiji la Mwanza. |
| Pozi mara baada ya kumaliza mazungumzo na darasa kwa warembo hao. |
| Wanasifa za usikivu na utulivu hivyo wanaweza kuwa viongozi wazuri. |
| Of Coz na ujanja pia. |
| Picha ya pamoja na Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza. |
| Ofisi za jiji la Mwanza. |
No comments:
Post a Comment