Thursday 27 June 2013

AJALI YA MOTO YATOKEA NA KUTEKETEZA DUKA LA NDUGU LETICIA MPILLA USIKU WA JANA KASHAI MAJENGO MAPYA



 ni mabaki ya duka la vitu mbalimbali kwa matumizi ya binadamu lililoungua usiku wa jana majira ya saa nane usiku

                                                                       ni majanga



                                                       ni majonzi makubwa mama na watoto

                                                ndugu leticia mpilla mmiliki wa duka lililoungua
                                                chanzo cha moto kwa mujibu wa leticia ni jiko la mkaa

No comments:

Post a Comment