Tuesday 25 June 2013

BREAKING NEWS: SUGU ATIWA MBARONI KWA SHUTUMA ZA KUMTUKANA MH.PINDA

Tuesday, June 25, 2013

Kw habari zilizotufikia hivi sasa zinadai kuwa Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa na jeshi la polisi kwa kile kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.  
Hivi  karibuni, Mh. Sugu  alidai  kuwa  Tanzania  haijawahi  kuwa  na  waziri  mkuu  mpumbavu  kama  Mizengo  pinda.

No comments:

Post a Comment