Tuesday, 25 June 2013
MZEE CHRISTOPHER. J. KIBOGOYO AZIKWA NYUMBANI KWAKE KATOKE,VILIO VYATAWALA
Unapofika katika kijiji cha katoke wilaya ya muleba,moja ya familia kubwa na ukoo mkubwa ni familia ya KIBOGOYO, ni familia ya kitemi,ambao chimbuko lao ni ukoo wa ABAINDA BA KIYANJA, kwa omurangira rwemigira aliemzaa omurangira nasibu na omurangira kibogoyo, katika uzao wa omurangira kibogoyo alimzaa marehemu george kibogoyo na marehemu christopher .j kibogoyo aliezikwa 24-06-2013 katoke. marehemu Christopher alifariki 20-06-2013,amefariki akiwa na umri wa miaka 72, kaacha watoto kumi, wajukuu 16 na vitukuu 4.
marehemu christopher kibogoyo katika ujana wake
marehemu christopher akimpokea mwalimu nyerere uwanja wa ndege miaka ya zamani katika uwahi wake,marehemu ni mwafrika wa kwanza aliebahatika kufanya kazi katika jumuia ya africa mashariki kama afisa mwandamizi kabla ya kuvunjika,marehemu ni
jamani babuuuu.....
vilio vilitawala
watoto wa marehemu
misa ikiendelea
historia ya marehemu ikisomwa
mwili ukiwekwa kaburini
jitafakari wewe ulie baki
ulitoka udongoni na sasa unarudi udongoni
hii ndio nyumba yako ya milele
watoto wa marehemu
wajukuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment