Sunday 23 June 2013

MWENYEKITI WA JUMUIA YA WAZAZI TAIFA ABDALAH BULEMBO AMEWATAKA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA SERIKALI WATOKE MAOFISINI WAWAFUATE WANANCHI KUTATUA MATATIZO YAO


 Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi taifa ABDALAH BULEMBO amewataka viongozi wa chama na serikali waacha tabia ya kukaa maofisini waende kwa wananchi wasikilize kero zao na kuzitatua,amesema viongozi wamekuwa na tabia ya kutokwenda kwa wananchi na kukaa kwenye viti maofisini,pamoja na kuongelea mambo mengi aligusia swala la migogoro ya viongozi na uhai wa chama na jumuia zake,alisema imekuwa ni kawaida wanachama kutolipia ada kadi zao wakisubiri nyakati za chaguzi ili walipiwe ada na wanaotaka ubunge au nafasi mbalimbali katika chama kitu ambacho amekikemea na kusema chama hakiwezi kwenda kwa staili hiyo,ni wajibu wa kila mwanachama kujua wajibu wake wa kuimarisha chama ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya uwanachama kwa wakati yeye mwenyewe,akiwa katika mkutano wa hadhara kashai alitoa nafasi ya kuuliza maswali alikumbana na swali kuhusiani na viongozi waliotuhumiwa  ufisadi ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yao,mh bulembo alisema katika chama zipo taratibu zinazofanyika katika vikao vya ndani vya juu na wakibainika watawajibishwa, pia alimwagiza mwenyekiti wa mkoa  ccm kagera kushughulikia kero kubwa kwa wananchi wa kagera kufunga mapema sherehe,tafrija au burudani kwenye kumbi za starehe au maharusi kufuatia agizo la mkuu wa mkoa wa kagera, amesema ni kero kubwa na ni kitu kinachofanyika kagera tu na wananchi hawatendewi haki,hivyo amewataka wahusika waache kabisa swala hili la kufunga mapema shughuli za watu kwani ni kero kubwa kwa wananchi wa kager

                                  wanachama na viongozi wakiwa katika ukumbi wa ofisi ya ccm mkoa



                                                                                  kinyondo
                                             kulia ni mkuu wa mkoa wa kagera kanal fabian massawe

                                   katibu wa ccm mkoa akisoma taarifa ya chama ya mkoa
                                     mwenyekiti ccm bukoba mjini yusufu ngaiza kushoto
                                                       mh malechera
                                                          wazeee




                                   wanachama wakiwa ukumbi wa st fransis bukoba

                                                katibu wa mkoa kagera ccm ngugu mushi
                                  mwenyekiti wa mkoa jumuia ya wazazi mh kamugisha
                tunakupenda mwenyekiti wetu taifa ongera kwa kura za kishindo Tanzania nzima


                                                hilo jogoo mwenyekiti karibu bukoba


                                                         mama tunatambua mchango wako
                          alhaji abasi akiwa ameishapokea hati ya shukrani
 mzee kaizirege akipokea hati ya shukrani kwa kuitumikia jumuia ya wazazi bukoba mjini zaidi ya miaka kumi
                                                                 jamani acheni migogoro
mwenyekiti wa jumuia ya wazazi taifa Abdarah Bulembo akiongea na wajumbe wa almashauri kuu ya wilaya bukoba mjini
                   katibu wa mkoa kagera ccm  mstaafu mzee kamareck akiongea na wajumbe



                                                         wajumbe wa almashauri kuu ya wilaya bukoba mjini

No comments:

Post a Comment