Monday 30 March 2015

KAGASHEKI AFUNGUA TAWI LA CCM VIJANA SCREPA KATA BILELE

Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini amefungua tawi la ccm la Vijana wanaojishughulisha na biashara ya uzaji wa vyuma chakavu(Vijana screpa) katika kata ya bilele,Mwenyekiti wa wa kundi hilo mwanzoni akisoma taarifa ya umoja huo wenye vijana wapatao 35 wamejiajiri wenyewe na wanashughulika na biashara ya vyuma chakavu inayowawezesha kuishi katika maisha yao ya kila siku, Vijana hao walimueleza mbunge moja ya changamoto inayowakabili ni mtaji mdogo wa kukusanyia bidhaa, Mh Kagasheki amehaidi kuwasaidia na kuwasaidia zaidi ili waweze kupanua uwigo katika biashara zingine,kwa kuanzia  amewapa kiasi cha shilingi laki tano,na amehaidi baada a mwezi mmoja wakutane waweze kuongea na kupeana mipango ya kuendeleza kikundi chao.
Ni baadhi ya vyuma.
Mh Kagasheki akiwasili.
Mwenyekiti wa kata Bilele Bw Taufiq Sharif.
Mlezi wa kundi la vijana screpa akitoa neno.
Katibu wa uvcc Bukoba mjini akiongea na vijana.
Wamama walezi wa kikundi.
Bw Kaganda akiongea na vijana.
Katibu wa kikundi akisoma risala.
Katibu wa ccm wilaya Bukoba akiongea na vijana.
Mh Kagasheki akiongea na vijana.
Vijana wakipokea kadi za umoja wa vijana ccm.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment