Monday 1 September 2014

LYDIA PROTAS SEND OFF PARTY YA FANA , NDANI YA MASAA MATANO ABADILISHA MAVAZI TOFAUTI MATATU.

 Bi harusi mtarajiwa katika vazi tofauti,kwa ufupi ni kwamba  mtarajiwa ndani ya masaa matano alibadilisha mavazi mara tatu, moja alikuwa na vazi kwa ajiri ya kupiga picha eneo la Garden ya Baramaga, pili aliingia ukumbini akiwa na vazi tofauti, na kilipofika kipindi cha zawadi akabadilisha vazi la tatu. hiyo ndio habari ya mjini.
 Bw Victor katika pozz
 Bw Joel katika pozzz
 Mwenyekiti wa kamati akipokea keki
 Mama Kafanabo akiongoza watu kutoka Dar kwa mbwembwe
 Watu wa Dar wakapewa zawadi ya keki
 Full shangwe
 Mama ni wewe kweli , leo umependeza sana
 Bw harusi mtarajiwa nae akafungua shampein
 Chearssss
 Chearssss
 Waimbaji wa kakau band
 Kakau band wakitoa burudani
 Kwaitoooooo
 With a big smaile
 Kijana Rahimu mzuka ukampanda wa ngoma
 Ni staili tu ya uchezaji ngoma
 Makofi kwako
 Chezea ngoma ya kihaya wewe
 Mzuka wa ngoma ukipanda
 Unacheki huo mkao
 Nshomile akifanya yake jukwaani
 Unaiona hiyo nguo ,mtarajiwa akimtunza Nshomile
 Mama mzazi wa Bi harusi mtarajiwa akitoa zawadi
 Hii ndio ilikuwa ya kipekee ni eneo rasmi la kijumba kidogo cha majani ndio walipatia chakula wakiwa wamekaa kwenye nyasi.
Jamcobukoba.blogspot.com unawatakia kila rakheri katika maisha mapya mtakayoyaanza 13-9-2014 baada ya kufunga pingu za maisha.

No comments:

Post a Comment