Sunday 31 August 2014

SEND OFF PARTY YA LYDIA PROTAS,ANGALIA MATUKIO LINA'S ILIKUWA NI BALAAAA....

 Bi harusi mtarajiwa Lydia Protas akiingia katika ukumbi wa Lina's,hakika nashindwa nieleze vipi ili upate picha kamili kilicho jiri,Bi Lydia anatarajia kufunga pingu za maisha tarehe 13-9-2014 Jijini Dar na Bw Victor Alcard.
 Ukumbi ulipendeza ulipambwa na kampuni ya Walkgard hotel, MAMA MATUNGWA
 Muonekano wa keki
 Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa wakiingia ukumbini
 Mc Rutakwa akifanya yake
 Wazazi wa Bw harusi mtarajiwa wakiingia ukumbini
 Bw Harusi mtarajiwa akiingia ukumbini
 Watu walipendeza

 Ukumbi ulipendeza
 Bi harusi akiingia ukumbini
 Hapana chezea mtarajiwa
 Kitambaa cheupe juu
 Watu wote wakasimama kumpa heshima mtarajiwa akiingia
 Kaka zake na Bi harusi mtarajiwa full shangwe
 Raha jipe mwenyewe na hasa siku yako ya historia maishani
 utambulisho
 Akaanza kumsaka mme mtarajiwa ili amtambulishe
 Hatimae akampata
 Pokea mkwaju mme wangu mtarajiwa
 Bonge la mkwaju
 Twende mme wangu
 Pendeza sana
 Akimtambulisha mme wake mtarajiwa kwa wazazi
 Wapambe nao walitokelezea
Bw harusi mtarajiwa akielekea eneo lake maalumu la kukaa
 Ikakatwa keki
 SHAMPEIN

 Mama mzaa chema akapewa keki
 Wifi mtu huyo
 Keki time
 Mama wa ubatizo akapewa keki
tutaendelea kuwaletea matukio yote yaliyojiri ukumbini,endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment