Sunday 31 August 2014

LYIDIA PROTAS UMETISHAAAA... NI MATUKIO KABLA YA KUINGIA UKUMBINI .ENEO LA PICHA BARAMAGAMA GARDEN BUKOBA

 Ni watarajiwa hao Bw Victor Arcard na Bi Harusi mtarajiwa wakiwa katika eneo nzuri lenye mandhari na muonekano mzuri Baramaga Barabara ya kwenda Maruku akipiga picha mbalimbali kabla kuingia ukumbini kwa ajiri ya Send off Party  ya Lydia Proras mzaliwa wa kjiji cha Busimbe kata ya Kitendaguro kwa Marehemu mzee Protas Elias na Bi Bertha Peter, Hakika mpangilio wa mavazi na mipango yote kwa ujumla ilikuwa ya uhakika.
 Hii ni suti ya Bw harusi mtarajiwa  aliyovaa ukumbini
 Mpango mzima kwa mtarajiwa
 Gauni hili ndio alivaa ukumbini  wakati wa kuingia Bi Lyidia na badae akatoka kivingine na wakati wa picha alikuwa kivingine, hapana chezeea Lyidia weweeee
 Gauni hili  badae likavaliwa ukumbini,.
 Kwa wanaojua vitu nawaachia wenyewe.
 Naongeea kwa picha
 Mtarajiwa akitengenezwa na kupambwa
 MAKSI NAKUACHIA MWENYEWE
 Gauni ili ni kwa ajiri ya picha tu.
 Mwanamke machooooo
 Shangwe zikiendelea pande za Kolping hotel
 Fura zikatawala
 Ni wageni kutoka Dar
 Mtarajiwa sasa tuelekee eneo la picha za kumbukumbu
 Jichooo
 Gari maalumu kuelekea kwenye picha
 Msafara ukitokea Kolping Hotel kuelekea Baramaga garden
 Bonge la NGUOOO
 Ilikuwa poa sana
 sema ndiziiiiii
 Hakika siku ya leo ni ya pekee katika maisha yetu mpenzi
 Pokea busu la shavuni mpenzii
 POKEA Busu la hapooo
 Bw Victor katika pozzz tofauti
 Serebukaaaa
 Ni shampein kwa ajili ya kupiga picha tu, hapa shughuri bado ndugu msomaji
 SIO SHAMPEIN YA KUIGIZA IKAFUNGULIWA KWELI NA WATU WAKAINYWA
 Cherezzzz
 Busu hili ni halali yako babyyyy
 Ni kila mtu na pozz lake
Usitoke jamcobukoba.blogspot.com, baada ya muda mfupi tunakuletea shughuri nzima ya ukumbini katika ukumbi wa Lina's.

No comments:

Post a Comment