Sunday 23 February 2014

OMULANGIRA CYPRIAN IJUMBA AZIKWA NYUMBANI KWAKE KANYIGO MISENYE BUKOBA

Picha ya marehemu
 Jeneza la marehemu wakati wa ibada
 Mr Deo Rugaibura akiwa na Ernest Nyambo
 Mzee Musa akiwa msibani kanyigo
 Wadau wakiwa na mfiwa Divo Rugaibura alifiwa na babu yake

 Kushoto ni Bw Gozi Ijumba alifiwa na baba mzazi akiwa na   swaiba wake wa karibu sana Bw Sande
 Wakati wa ibada ya mazishi
 Mzee Rugaibura akitoa neno kwa niaba ya familia ya marehemu
 Wanafamilia wa marehemu
 Ibada ya mazishi
 Bw Salumu mawingu akiweka shada kwa niaba ya wageni kutoka Bukoba mjini
 Bw Deo mkewe wakiweka shada
 Bw Divo na mkewe wakiweka Shada la maua,maisha ya ndoa matamu sana
 Mtu na mdogo wake, achaut ni lugha wanaitumia sana,wanamanisha nini, wanajua wao
 Sudi karatasi akitoa mkono wa pole
 kila mmoja anawaza lake, zaidi ikifika siku yangu itakuwaje, naondoka vipi
 Mapadre walioongoza misa
 Mama Mulima akitoa heshima
 Mzee Kalike
Pumzika  kwa amani baba yetu

No comments:

Post a Comment