Monday 30 September 2013

MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG BW ATOUG NA TIMU YAKE YAANZA KAZI YA UKAGUZI KATIKA MANISPAA YA BUKOBA NA MIRADI MBALIMBALI KUBAINI UKWELI WA UBADHIRIFU


  • https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=383a4cad12&view=att&th=1416f0a88d42d70c&attid=0.6&disp=inline&realattid=f_hm7pft9c5&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8iTi55sRzrwVGNWyZCFNxu&sadet=1380608425523&sads=8ovwVTW1GJ9ZuaO-MoOaw55UEoYhttps://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=383a4cad12&view=att&th=1416f0a88d42d70c&attid=0.6&disp=inline&realattid=f_hm7pft9c5&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8iTi55sRzrwVGNWyZCFNxu&sadet=1380608425523&sads=8ovwVTW1GJ9ZuaO-MoOaw55UEoYhttps://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=383a4cad12&view=att&th=1416f0a88d42d70c&attid=0.4&disp=inline&realattid=f_hm7pft8n3&safe=1&zw&saduie=AG9B_P8iTi55sRzrwVGNWyZCFNxu&sadet=1380608340679&sads=pZTN72wIz2OY3kwBv4cQQG0W9qg
  • Mkaguzi wa hesabu za serikali na timu yake wameanza kazi ya ukaguzi wa miradi  na tuhuma zinazomkabiri meya wa manispaa ya bukoba Anatory Aman ikiwemo ya ukiukwaji wa sheria, taratibu kuamua mambo mwenyewe bila kushirikisha vikao vya maamuzi.hatua hii imefikiwa baada ya mgogoro uliodumu zaidi ya mwaka sasa na kusababisha mkwamo wa shughuli za maendeleo ya wananchi katika manispaa ya bukoba, Tume itafanya mahojiano na madiwani,taasisi za fedha kujua mikataba, itatembelea miradi inayohusishwa na ubadhirifu kwa kuangalia na kulinganisha gharama halisi zilizotajwa katika miradi hiyo na kuangalia taratibu kama zilifuatwa kuteua watenda kazi, Tume itafanya kazi kwa siku 35 na taarifa wataipeleka kwa waziri mkuu.

      No comments:

      Post a Comment