mchungaji akiongoza misa ya kumuombea marehemu katika kanisa la kashura bukoba,ma selestina alipenda sana dini na alimpenda yesu,na muda wake mwingi aliutumia katika shughuli za kumtukuza mungu,alipenda sana wanae, wajukuu na watu wote,ni sifa ambazo wachungaji walimuelezea marehemu,marehemu ameacha mme, watoto 11,wajukuu 35, na vitukuu 3
wafiwa wakisikiliza maibiri kanisani
mtoto mkubwa wa marehemu godwin rwezaura
ma rael akiwa na paskazia barongo kanisani
kushoto mke wa mzee joel byolwango
mzee igaisa
baba askof mushemba
wajukuu wakiimba wimbo maalumu wa kumuaga bibi yao
wajukuu katika majonzi
kwa heri mama yetu
watoto wakike wa marehemu
wa pili kushoto , mzee paulo mme wa marehemu akiwa kanisani
nje ya kanisa la kashura baada ya misa mwili wa marehemu ulipelekwa nyumbani kitendaguro
picha ya familia
rambirambi zilitolewa na watu mbalibali
baba askofu buberwa akitoa neno na kuisihi jamii kuwa kitu kimoja wasibaguane
umati wa watu waliokuja kumzika marehemu
mzee rwegasira
mzee abdu ziadi
umati wa watu uliokuwa eneo la nje
maelfu ya watu wamemzika ma selestina paulo
majid kichwabuta na wenzake
mpaka migombani watu walikuwepo
Mme wa marehemu ta paulo erasto akiweka udongo kaburini kumzika mkewe
makazi ya milele ya ma selestina paulo
pumzika kwa amani mama yetu
RIP mpendwa wetu,bado tutaendelea kukukumbuka kwa mengi mazuri uliyotufanyia! hakika sote tutatangulia mbele,lkn nimeamini kuwa "akwebembela akushasa" pengo lako liko wazi,Mungu akupumzishe mahala pema peponi,Ameen!
ReplyDelete