Monday 30 September 2013

BONANZA LA VETERANI BUKOBA LAFANA





ni bonanza kweli mchanganyiko wa aina yake

 mwarabu na bia yake  ameichanganya na maziwa ya mgando
wanaveterani maisha yakiendelea kiroyera beach
 bwana rajabu paulini akiwa jukwaani baada ya kususia mchezo timu yake ilipofungwa goli
 bwana sued kagasheki akicheka na camera yetu

                                      kocha wa timu A  mwarabu akitoa maelekezo kwa wachezaji

                             Mapema ulichezwa mchezo wa timu A n B katika uwanja wa kaitaba

No comments:

Post a Comment