Tuesday 3 November 2015

SHUGHULI PEVU YA HARUSI YA DICKSON NA ALPHONCIA KATIKA UKUMBI WA BUKOBA CLUB.

 Ni katika ufukwe wakionyeshana utaalamu wa kupiga picha kwa kutumia Ipad,Hii ni siku ya kipekee katika maisha ya Dick na Alphoncia katika maisha yao.
 Katika ubora wao.
 Wazazi upande wa Bw Harusi.
 Kastail ka kimahaba.
 Bi harusi anawezaaa.
 Shughuli ikaja Bukoba club, Mc Jerry akiwa kazini.
 Mwenyekiti Bw BYERA akafungua sherehe.
 Dada akaangusha maneno ya vitabu vitakatifu.
 Bw Harusi ghafla akavaa kapelo na kuanza kumwaga mistari ya kumsifia mkewe, dick ni shidaaaa...
 Kama haitoshi akamvisha kapelo mkewe,Watu wakajiuliza mkaguzi wa mahesabu na kuimba anaweza, Dick ni shidaaa...
 Kijana tai imemkaa.
 Mama mzaa chema.
 Baba mzaa chema.
 Hawa jamaa ni shidaa wakiwa katika shughuli.Mc Jerry na Mc Ema.
 Keki za kumwaga.
 Kinywaji aina shampein.
 Wapambe katika ubora wao mtu na mke wake, ilikuwa poa sana.
 Vijana wasafi kutoka Kibeta wakafanya yao.
 Mapozz kama Obama vile.
 Kamati katika ubora wao.
 Nilishe nikulishe,we msomaji ni lini mmelishana na mkeo au mmeo.
 Kijana mtata , ila mbele ya wife unatulia tu.
 Mandela na mama katika ubora wao.
 Mmmmm,napita
 Mapozz, unakula kwa pozzzz
 Mama Ailean akifurahia chakula kilichopikwa na kampuni yake, kutoka prince Motel.
Hakika kijana umetishaaa,funika mbayaa.

No comments:

Post a Comment