Monday 2 November 2015

NI DICKSON NA ALPHONCIA KATIKA UBORA WAO,WAACHANA NA UKAPERA.

 Ni harusi ya aina yake  iliyofanyika katika Manispaa ya Bukukoba,Bw Dickson Christopher na Bi  Alphoncia Felician walipofunga pingu za maisha katika kanisa la Anglicana mjini Bukoba.
 Bw harusi
 Partron
 Bi harusi
 Wakila kiopo cha  milele
 Wakivishana pete

1 comment:

  1. Ama kwa hakika MUNGU ni mwema siku zote...
    Asante saaaaaaaaaaaaana Mkubwa Jamal Kalumuna...

    ReplyDelete