Monday 2 November 2015

SEND OFF PARTY YA ALPHONCIA FELICIAN,HUKO BIHARAMULO,FULL SHANGWE.

Ilikuwa ni bonge la shangwe katika mji wa Biharamulo pale Bi Alphoncia(kulia)alipoutangazia umma wa Biharamulo na maeneo mengine kwa kuweka wazi chaguo lake Bw Dickson katika sherehe yake ya kuagwa rasmi na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria.
Ni  vijimambo tu vya hapa na pale.
Karibu apple mtarajiwa wangu.
Akamvisha pete ya uchumba.
Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa.
Bw Dickson akitambulisha wazazi.

1 comment:

  1. Asante saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Mkubwa JAMAL KALUMUNA for making this happen

    ReplyDelete