Tuesday 3 November 2015

KAITABA INABADILIKA,ONGERA MALINZI," HAPA KAZI TU."

Camera yetu imepitia katika uwanja wa Kaitaba na kujionea hali halisi ya maendeleo ya uwekaji wa nyasi bandia katika uwanja wa Kaitaba Manispaa ya Bukoba na wafanyakazi kusikika wakisema Hapa Kazi tu, hakika maneno yanaendana na hali halisi ikiwa ni siku ya pili tu tangu zoezi hili la uwekaji nyasi bandia kuanza,zoezi la uwekaji nyasi bandia wanategemea litatumia takribani siku 14 kukamilika,hongera rais wa TFF Jamal Malinzi kwa kuonyesha jitihada zako katika kuleta maendeleo ya soka Mkoa wa Kagera.
 Wananchi wakishuhudia kazi ikiendelea.

No comments:

Post a Comment