Sunday 7 June 2015

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI YAADHIMISHWA KATIKA KATA YA KASHAI BUKOBA.

 Mkuu wa wilaya ya Bukoba Jacksoni Msome akihutubia wananchi katika maadhimisho ya siku ya Mazingira ,Hafla hiyo fupi ilifanyika katika kata ya Kashai.
 Wanafunzi wakitumbuiza.
 Mwenyekiti wa mtaa Kashai , Bw Victor akiongea na wananchi.
 Washindi katika swala zima la usafi katika maeneo yao wakipokea zawadi ya cheti kwa kutambua jitihada zao katika usafi wa mazingira.
 Katibu tawala wa wilaya Bw Ndyamukama akitoa neno.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com

No comments:

Post a Comment