Saturday 6 June 2015

MSAFARA WA MGOMBEA URAIS CCM WAPATA AJALI MBAYA NI MAKONGORO NYERERE




Msafara wa Mgombea nafasi ya Urais kupitia CCM Charles Makongo umepata jali mbaya Wilayani Kasulu ambapo Gari walilopanda wasaisdizi wake limepinduka.Makongoro hakuwemo katika gari hilo bali waliokuwemo wameumia akiwemo  mwandishi wa habari Cyprian Musiba, na jamaa mmoja , Tutawajuza zaidi habari hizo

No comments:

Post a Comment