Tuesday 2 June 2015

ANGALIA MATUKIO KABLA YA MAZISHI YA MZEE SAMWEL LUANGISA NYUMBANI KWAKE MPAKA KANISANI.











Huyu ni bw Mpoma maarufu kama Luangisa niwe, kwa kweli ni mmoja mwa watu waliokuwa marafiki wa karibu sana na marehemu.
Watu walipata wasaa wa kuombea marehe wengine.
Tangu msiba umetokea leo ni Ngo'mbe wa Tano, na bado watu wanazidi kumiminika.


Kuelekea kanisani kashura.
Kampuni kutoka Uganda inayoshughulia na taratibu zote za mazishi.
Murungi Kichwabuta,katika maisha ya kisiasa ya marehemu Luangisa alizoea kumuita mpambanaji.
Msafara ,waendesha pikipiki
Mwenyekiti wa msiba Bw Logers Karunde akitoa maelekezo kanisani kashura.
Mwili ukitolewa kwenye gari maalumu  kuingia kanisani.
Mjukuu akiwa na picha.
Mwili ukiingia kanisa la Kashura kwa ibada.
Watoto wa marehemu.
Mc Rutakwa akiendelea na majukumu.
Kwaya ikitumbuiza nyimbo za maombolezo.
Kushoto Mzee Katarama, Mzee Galiatano na Mzee Pius Ngeze.
Kulia ni Mzee Dauda Kalumuna, DC wa Bukoba Jackson Msomi na Almasoud Kalumuna wakiteta jambo.
Endelea kufuatilia tukio la mazishi.

No comments:

Post a Comment