Monday 8 June 2015

KATIBU MKUU TAIFA WA CCM ABDULRAHMANI KINANA AENDA KUHANI NYUMBANI KWA MAREHEMU SAMWEL LUANGISA.

 Katibu mkuu wa ccm Taifa Abdulrahaman Kinana amefika nyumbani kwa marehemu Samwel Luangisa katika kijiji cha Kitendaguro Bukoba kwa ajiri ya kutoa pole ya msiba kwa familia, Mh Kinana ambae yuko Mkoani Kagera kwa ajiri ya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm,Marehemu alifariki 25-5-2015 huko New York Marekani na mwili wake kuletwa nchini na kuzikwa 3-6-2015.Marehemu katika uhai wake ametumikia chama na serikali katika nyazifa  nyingi,(katika picha ni Bi Farida Kassim akimkaribisha Katibu mkuu ccm  Taifa msibani.)
 Kaburi la marehemu.
 Mh Kinana akisalimiana na mjane wa marehemu.
 Bi Paschazia Barongo akisalimiana na Katibu mkuu.
 Bi Murungi Badru Kichwabuta , mtoto wa marehemu akiwa na Katibu mkuu wa ccm Taifa.
 Mwenyekiti ccm Wilaya ya Bukoba mjini akitoa maelezo.
 Mh Kinana akisaini kitabu cha maombolezo.
 Mh Nape na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella wakisalimia wafiwa.Mh Balozi
 Mh Balozi Khamis Kagasheki akiteta na Bi Farida Kassimu.
 Mh Nape akisaini kitabu cha maombelezo.
Endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment