Wednesday 13 May 2015

MANISPAA YA BUKOBA YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAANGA WA MAFURIKO NYAMKAZI BUKOBA.

Manispaa ya Bukoba wametoa msaada wa chakula kwa kaya 30 walioathirika na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha tarehe 8-5-2015,Msaada wa chakula kilichotolewa ni unga wa mahindi kilo 600 na maharage kilo 300, akikabidhi vyakula hivyo kwa waanga mkuu wa wilaya ya Bukoba Jackson Msomi amewashukuru Manispaa ya Bukoba kuonyesha jitihada za awali  za kusaidia waanga na kuwaomba wadau mbalimbali kuendelea kusaidia.
Bw Jumanne Bingwa akisaidia kushusha vyakula.
Hali inaelekea kuwa shwari kwenye maeneo ya makazi ya watu.
Waanga.
Kamati ya maafa ya kata ya Miembeni.

No comments:

Post a Comment