Sunday, 10 May 2015

MAFURIKO USIKU NYAMKAZI BUKOBA,VIONGOZI WASHIRIKIANA NA WANANCHI KUOKOA MAISHA YA WATU.

 Mvua kubwa iliyonyesha 8-5-2015 katika Manispaa ya Bukoba imeleta tafrani kubwa kwa wakazi wanaohishi maeneo ya Nyamkazi baada ya madaraja yanayopitisha maji kuelekea ziwani kwa magugu maji na kusababisha maji kutopita na maeneo yote ya Nyamkazi mwaloni kufurika na kuleta tafrani kubwa majira ya saa mbili usiku , Baada ya nyumba nyingi kujaa maji na hali kuwa mbayaDiwani wa kata ya Miembeni Richard Mwemezi aliwasiliana na Mkuu wa wilaya ya Bukoba Jaksoni Msomi na Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Khamis Kagasheki kwa ajiri ya kuomba msaada wa kusaidia wananchi wa nyamkazi ,(katika picha ni gari maalumu likiwa katika daraja la kuingia katika kiwanda cha samaki cha Vickfish likiondoa magugu maji yalioziba maji yasipite darajani.)
 Ni Baadhi ya nyumba za wavuvi wa Nyamkazi zikiwa majini.
 Kulia mh Mbunge Balozi Khamis Kagasheki akiwa na Mh mkuu wa wilaya Bukoba Jaksoni Msomi katika tukio la mafuriko  usiku wa 8-5-2015.
 Kushoto Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba Bw Erick akiwa na Mwenezi wa ccm Bukoba mjini Ramadhani kambuka kwenye tukio.
 Wananchi wa Nyamkazi wa wakishuhudia gari maalumu likitoa magugu maji darajani.
 Wananchi wakichukua matukio.
 Magugu maji.
 Wataaramu wakielekeza.
 Kushoto ni Mkurugenzi wa Buwasa Bw Chagaka akiwa kwenye tukio.
 Bw Jumanne Bingwa msaidizi wa Mbunge nae akiwa kwenye tukio.
 Balozi kagasheki akiwa na Bw Nyerere kwenye tukio.
 Maji yakipita kwa kasi sana baada ya kutoa magugu maji.
 Kampuni iliyoleta gari maalumu kusaidia.
 Hali ilikuwa mbaya sana.
 Ni mshangao kwa kila mtu kilichokuwa kimetokea, tena usiku.
 Wananchi wakiongea na Mbunge.
 Mh Diwani Richard Gaspar akiwa kwenye tukio.
jamcobukoba.blogspot.com inawapa pole wananchi wote wahaanga wa mafuriko, rahi yetu  wote walio kwenye maeneo ya ukanda wa kutuhama maji mengi ni vizuri wakahama mapema, maana kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa Mkoa wa Kagera utakuwa na mvua nyiki kwa kipindi hiki.

No comments:

Post a Comment