Tuesday 17 March 2015

KAGASHEKI KUUNGURUMA UWANJA WA UHURU PLATFORM BUKOBA MJINI JUMAMOSI 21-3-2015 KUANZI SAA TISA ALASIRI

Mbunge wa jimbo la Bukoba Mjini Balozi Khamis Sued Kagasheki atakuwa na mkutano wa hadhara siku ya Jumamosi katika uwanja wa Uhuru Platform alimaarufu Mayunga .Balozi Kagasheki atakuwa akiongea na wanajimbo maswala mbalimbali kuhusiana na jimbo, Wananchi wote mnaobwa kuhudhuria kwa wingi ili usikie mwenyewe kile atakachokiongea.Karibuni sana.Imetolewa na ofisi ya Mbunge Jimbo la Bukoba Mjini.

No comments:

Post a Comment