Monday 16 March 2015

FALCON WALETA MABASI MAPYA KWA SAFARI ZA BUKOBA - DAR KILA SIKU.

 Usafiri ni moja ya huduma muhimu sana katika jamii,Kampuni ya mabasi ya Falcon wametambua hilo na kuhakikisha katika jitihada za kutoa huduma bora wameleta mabasi mapya kwa ajiri ya kusafirisha abiria kila siku  Bukoba - Dar kila siku kwa gharama nafuu.
 Muonekano wa mabasi.
 Sehemu ya ndani ya Basi.
 Viti vya kujinafasi.
 Dereva.
 Abiria kwa raha zao.
 Ukiwa safarini utapatiwa kinywaji cha kukuburudisha, huku ukitazama Tv.
Ni ofisi za Falcon zipo stand kuu ya Mabasi Bukoba, safari kwa raha na Falcon.

No comments:

Post a Comment