Thursday, 20 November 2014
TANGAZO LA RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU LEONARD MTENSA.
MWENYEKITI KAMATI YA MAZISHI YA MAREHEMU LEONARD MTENSA ANAWATANGAZIA RAIBA YA MAZISHI KAMA IFUATAVYO; TAREHE 21-11-1014 SIKU YA IJUMAA SAA TISA ALASIRI MWILI WA MAREHEMU UTATOLEWA HOSPITALI YA MKOA WA KAGERA NA KUPELEKWA NYUMBANI KWAKE KYAKAILABWA BUKOBA MANISPAA. NA TAREHE 22-11-2014 JUMAMOSI NDIO SIKU YA MAZISHI. RATIBA ITAANZA KUANZIA SAA SITA MCHANA, CHAKULA NA IBADA YA MAZISHI.KWA WALE WOTE WENYE MAGARI WANAOBWA SIKU YA TAREHE 21-11-2014 IJUMAA WAFIKE HOSPITALI YA MKOA WA KAGERA KWA AJILI YA KUUNGANA KWENYE MSAFARA WA KUPELEKA MWILI WA MAREHEMU NYUMBANI KWAKE KYAKAILABWA. ASANTENI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment