Sunday 25 May 2014

SHEREHE YA KUWAPONGEZA AZIZI KICHWABUTA NA ANIFA KAJUGUSI BUKOBA YAFANA























 Wachukua matukio in action
 Mke wangu nitakubeba siku zote ukipenda
 Bw Optat akiongoza gari la maharusi
 Chakula time
 Madhali ya ukumbi ulivyopambwa na kampuni ya Walkgard hotel & Tours
 Wazee wakiwapokea maharusi ukumbini
 Maharusi wakipunga mikono
 Shekhe Mustaf Swidiq  akisoma dua ya ufunguzi
 Baada ya kupata pilau,mambo nikama hivi....
 Hakika mpangilio wa chakula ulipendeza kama serena hotel vile.....
 Mwenyekiti wa familia Bw Siraji kichwabuta akikaribisha wageni na kutoa neno la familia
 Mama mdogo wa bw harusi
 Mama mdogo wa bw harusi Bi Tadea
 Mrs Siraji Kichwabuta
 Shekhe kiyabitaraa kisoma mlango  wa maulid
 Mhandisi Shakindo
 Zaidi ya mashekhe 15 waliudhuria
 Mama Hasan akiwa na Mama Alya
 Azizi akiwa na bibi yake mzaa mama(kulia) na bibi mzaa mama yake na mke wake
 Meno yote nje, mama mdogo wa bw Harusi akifurahi
 Kaswidaikawainua watu
 Furaha aliyokuwa nayo bw harusi ilikuwa kubwa ,akiwa na kaka zake akicheza kaswida
 Shekhe Haruna Kichwabuta akitoa neno na na mawaidha ya ndoa
 Wamama walitokelezea si mchezo
 Zawadi
 Wakati  wa zawadi
 Azizi achezi mbali na mkono wa Anifa,safi sanaaa
 Mr  & Mrs Badru Kichwabuta katika pozz

 Ongereni maharusi ,wakitoka ukumbini
Maharusi  wakitoka ukumbini

No comments:

Post a Comment