Kenya inaanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kwa waathiriwa wa
mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika katika jengo la kibiashara la
Westgate mjini Nairobi.
Watu 67 wameuawa ikiwemo wanajeshi kadhaa wa usalama, ingawa kuna hofu kuwa
idadi ya waliofariki huenda ikaongezeka.
Maafisa wa uchunguzi wa kimataifa wanaungana na wale wa Kenya kujaribu
kuondoa mili ambayo imenaswa kwenye vifusi vya jengo hilo ambalo sehemu
yake iliporomoka jana. Nia ni kujaribu pia kutambua uraia wa washambulizi
hao**
Baraza la usalama wa kita..
No comments:
Post a Comment