Wednesday 25 September 2013

MH HAKIMU DERRICK MASAGA AAGA DUNIA KATIKA HOSPITALI YA BUGANDO MWANZA

Katika uhai wake akiwa martehemu derrick akiwa na mwanae nyumbani ,marehemu alikuwa ni mfanyakazi wa mahakama kahama,maerehemu ameishi sana bukoba kabla ya kuamia kahama,marehemu derrick au mzee wa mpunga alikuwa akisumbuliwa na kifua(athma) TULIKUPENDA SANA MZEE WA MPUNGA, ila mungu amekupenda zaidi, tutakukumbuka kwa ucheshi wako na upendo katika jamii.

No comments:

Post a Comment