Sunday 28 July 2013

RAIS KIKWETE AKIWA WILAYANI KARAGWE

Rais Kikwete akihutubia umati Ngara.
Rais Kikwete akisalimia wananchi Rulenge.

Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu.

Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.

Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu Jumamosi Julai 27, 2013.

1 comment:

  1. tunashukuru kwa kutuhabarisha
    ila mbona hukuweka matukio ya mheshimiwa rais akiwa bukoba mjini maana naona karagwe ngara bimlo nk lakini hapa kwetu kwanini
    tafadhali weka tunasubiri sana

    ReplyDelete