Sunday 28 July 2013

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA ITOKAYO KAGOMA - LUSAHUNGA, MJINI BIHARAMULO LEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI.

Burudani ya Ngoma ikiendelea wakati wananchi wa Mjini Biharamulo wakimsubiri Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete awasili kutokea Muleba leo hii Ijumaa tarehe 26.07.2013 Pichani ni Kiongozi Mh.John Pombe Joseph Magufuli na yeye akisakata ngoma iliyokuwa inatolewa hapo.Mh. John Pombe Joseph Magufuli na wewe unaweza kupinga ngoma??

Dr. John Pombe Joseph Magufuli ameweza kupiga ngoma na Wananchi wakaweza kuyarudi mangoma

Muda mchache akaingia Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiotesha Mti


Viongozi wakipanda mti

Rais Jakaya Kikwete akitaka kukata utepe

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe





Picha ya Pamoja na viongozi

John Pombe Joseph Magufuli kushoto, Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Mama Anna Tibaijuka

Picha ya Pamoja



No comments:

Post a Comment