Saturday 23 December 2017

HONGERA SULEIMAN NA RUTH KWA KUUKIMBIA UKAPERA.

 Ilikuwa ni shangwe na sherehe ya aina yake katika viwanja vya Stella Hotel (Walkgard Hotel)pale Bw Suleiman na Bi Ruth walipoamua kuukimbia ukapera na kuanza maisha ya ndoa, maisha yanayompendeza Mungu. Hongereni.
 Katika viwanja vya Stella Hotel au Walgard Hotel.
 Kwa hisia kali sana.
Jamcoblog inawatakia maisha mema ya ndoa.

No comments:

Post a Comment