Alie wahi kuwa mtangazaji wa RFA na STAR TV Bw Baina Kamukulu amezikwa nyumbani kwao ,Manispaa ya Bukoba kata ya Kibeta na mamia ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali,Marehemu aliaga dunia ghafla huko jijini Dar akiwa katika mazoezi ya kawaida akicheza mpira wa wavu.
Mjane wa marehemu akiaga mwili wa marehemu.
Mjane wa marehemu na mwanae.
Mtoto wa marehemu akiweka udongo.
Mjane wa marehemu akiweka udongo kaburini.
Kaka wa marehemu wakiweka shada la maua.
Kushoto Bw Kitwe na Ruga Masabala wakiongea.
Waombolezaji.
No comments:
Post a Comment