Sunday 22 November 2015

HIVI NDIVYO ALIVYO KUMBUKWA MAREHEMU MTENSA,MWAKA MMOJA TANGU AFARIKI.

 Ni familia ya marehemu Leornard Mtensa katika ibada maalumu ya kumuombea baada ya mwaka mzima tangu afariki.
 ke.Picha ya marehemu Mtensa katika uhai wake.
 Wanapamoja group.
 Wana veteran .
 Mama Muhazi.

 Kulia ni mjane wa marehemu.
 Peter Mugisha, mdogo wa marehemu mtensa.
 Maombi yakiendelea.
 Mama mzazi wa marehemu.
 Mc AKIENDESHA RATIBA.
 Rafiki mkubwa wa marehemu Mwl Bube mmiliki wa shule ya watoto wadogo LEOLEO akiongelea maisha ya Mtensa katika uhai wake.

 Super Mkude akitoa neno kwa niaba ya Bukoba veteran.
 Mwenyekiti wa Pamoja Group Jamal Kalumuna akitoa neno kwa niaba ya umoja.
 Umoja pamoja group ukatoa zawadi ndogo kwa mama wa marehemu ishara ya kumfariji.
 Mjane wa marehemu nae akipewa zawadi kutoka pamoja group,Bi Hope Makoko akiikabidhi.

 Mama Ftu nae akipokea zawadi kutoka pamoja.

Pumzika kwa Amani Leornard Mtensa.

No comments:

Post a Comment