Sunday 22 November 2015

MTENSA DAY NDANI YA UKUMBI WA LINA'S NIGHT CLUB,PAMOJA GROUP WAAZIMISHA.

 Ni wana umoja wa pamoja group wakiwa katika ukumbi wa Lina's night club,uliokuwa ukimilikiwa na marehemu Leornard Mtensa  wakimkumbuka kwa kukaa pamoja kwa kula na kunywa kwa pamoja kwa kumkumbuka marehemu,(MTENSA DAY)

 Kijana Jerry akisakata rumba.
 Maua katika ubora wake.
 Mwenyekiti wa pamoja Group akieleza umuhimu wa Mtensa day.
 Chereees kwa kumkumbuka Mtensa.
 Murungi Kichwabuta akisisitiza jambo.



Tutakukumbuka daima Leornard Mtensa.

No comments:

Post a Comment