Monday 30 November 2015

NMB BUKOBA NA TAWI LA NMB MISSENYE WASHEREKEA SIKU YA FAMILI(FAMILY DAY)29-11-2015

 Ni katika viwanja vya Royal Fountain Hotel iliyoko katika wilaya ya Missenye ,takribani kilometa 50 kutoka Bukoba mjini,wafanyakazi wa NMB tawi la Bukoba Mjini na familia zao waliungana na wenzao wa Tawi la Missenye na kusherekea kwa pamoja siku ya wafanyakazi na familia zao (FAMILY DAY),walijumuika kwa pamoja kwa lengo la kujuana,kula na kunywa pamoja,kucheza michezo mbalimbali na kusherekea mafanikio ya NMB kwa miaka kumi kwa kutoa huduma bora za kibenki kwa watanzania.(katika picha kulia ni Staff wa NMB Bukoba Bi Penina akipokea zawadi ya tray ya mayai baada ya kukimbia na yai likiwa katika kijiko bila kuanguka, mfanyakazi mwenzie Anitha Rugalabamu akimpongeza).
 Jamaa akionyesha kipaji cha kupiga danadana.
 Dada huyu alionyesha uwezo mkubwa sana wa kupiga danadana zaidi ya mia moja kwa muda mfupi.
 Watoto wakibembea.
 Bi Janeth akiwa na mwanae akibembea.
 Eneo zuri la Royal Fountain Hotel.
 Nyama choma
 Meneja  tawi la Missenye Bw Manyala.
 Mc wa shughuli nzima, hakika anaweza.
 Wamama wakionyesha umaili wao katika kucheza mduara.
 Mama na mwana.
 Mwenyekiti wa shughuli nzima akieleza nia na umuhimu wa siku husika.
 Watoto wakikimbia na yai likiwa kwenye kijiko kilicho mdomoni.
 Meneja tawi la Missenye akito zawadi kwa mtoto.
 Bw na Bibi wkifurahia zawadi.
 Mmoja ya mwanafamilia akifurahia zawadi.






Kuku akafukuzwa,ukimkamata ndio zawadi yako.
Mshindi akapatikana.

Mc akiwa na familia yake , baada ya kazi nzito.
 supu ya mbuzi.
Bw Peter  akiwa na mwanae.

No comments:

Post a Comment