Wednesday 17 June 2015

DK DIODORUS KAMALA AFUNGA FAINALI ZA DIWANI CUP KATA YA KASHENYE.

Balozi  Diodorus Kamala amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu katika kata ya Kashenye wilaya ya Missenye yalioandaliwa na Diwani wa  hiyo Omurangila Rugaibula,Akiongea na wananchi wengi waliojitokeza amemshukuru diwani kwa kutambua na kuthamini michezo na kuona umuhimu mkubwa wa kuandaa mashindano hayo,Balozi kamala ambae tayari ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Nkenge amewazawadia mabingwa wa kombe hilo, mshindi wa pili na watatu.zawadi zilizotolewa ni mipira, jezi na pesa taslimu.
ENDELEA KUANGALIA JAMCOBUKOBA.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment