Wednesday 20 May 2015

WAANDISHI WASAIDIZI NA BVR KITS OPERATORS SASA WAKO TAYARI KWA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MANISPAA YA BUKOBA LEO 21-5-2015

 Ni muonekano wa sura za bashasha na furaha kwa wanasemina kuelewa kile walichokuwa wakijifunza na kuashiria kuwa sasa wako tayari kwa zoezi la kuanza uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika Manispaa ya Bukoba leo 21-5-2015,Kata tatu za Miembeni,Bilele na Kahororo wanaanza uandikishaji kwa kipindi cha wiki moja .Kimkoa zoezi linazinduliwa rasmi  na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw John Mongella katika kituo cha Airport kata ya Miembeni.
 Wataalamu kutoka tume ya uchaguzi  wakirekebisha BVR KITS  tayari kwa kazi.
 Kwa vitendo.


 Hatua mbalimbali zitakazopitiwa.
jamcobukoba.blogspot.com inawatakia uandikishaji mwema, kujiandikisha na kupiga kura ni haki yako ya kikatiba.

1 comment:

  1. Okay!Watanzania wa Kagera na tujitokeze kwa wingi kununua silaha za maangamizi kwa watawala MAFISADI maana sasa ndo muda MUAFAKA!
    Tujitokeze kwa wingi katika hili!himahima watanzania!!!!!!!

    ReplyDelete