Monday 12 May 2014

SEND OFF YA DORWINE MAYANJA YAFANA

 Ni nyuso za matumaini makubwa na furaha Dorwine Mayanja akiwa na mme wake mtarajiwa Bw Steven wakiwa katika  ukumbi wa Brigedia Mess  Rugaro katika send off Party
 Mr & Mrs Mayanja wakiwa na furaha katika sherehe ya kumuaga mtoto wao
 Kushoto ni Bi Shamira Majid akiwa na Bi Harusi mtarajiwa
 Murungi Kichwabuta akiwa na Kajari Mayanja katika sherehe ya kumuaga Binti yao
 ,Mwaaaaa nitakumic sana best...
 Kushoto wa kwanza Dada Messe akifurahi katika picha ya pamoja
jamcobukoba.blogspot.com tunawatakia kila rakheri katika maandalizi ya harusi  na maisha kwa ujumla

No comments:

Post a Comment