Monday 12 May 2014

MTOTO ETHAN KATABALO APATA UBATIZO,ONGERA SANA

 Mtoto Athan Katabalo anaonekana mwenye furaha baada ya kupata  ubatizo katika kanisa la Cathedral Bukoba Manispaa,Mtoto huyu alizaliwa nchini Marekani katika Jimbo la Massachusetts, mjini Lowell Lowell.
 Mama mzazi  wa watoto wawili Janeveva akiwa na furaha na wanae
 Mtoto Athan akiwa na bibi yake mzaa mama
 Picha ya pamoja
 Wakiwa kanisani
 Msimamizi au Baba wa ubatizo Bw Teresfoli Gama akimuwashia mtoto mshumaa
Ongera sana Athan Katabalo

No comments:

Post a Comment