Thursday 9 January 2014

SHEKHE NURDINI KISHKI AWAHUSIA WAUMINI WA KIISLAMU BUKOBA KUMCHA MWENYEZI MUNGU

 Shekhe Nurudini Kishki akiwahutubia waumini wa kiislamu kwenye mhadhara uliofanyika viwanja vya shule ya msingi Jamia
 Kaimu Shekhe wa Mkoa Haruna Kichwabuta akimkaribisha  Shekhe Nurudini Kishki atoe mawaidha
 Umati wa waumini ukiwa umetulia ukisikiliza mawaidha

 Waumini toka pande tofauti walikuwepo
 Kila mmoja anatamani amguse
Akiondoka katika viwanja vya shule Jamia

No comments:

Post a Comment