Baba askofu Methodius Kilain akiongoza ibada fupi ya kubariki jiwe la msingi ujenzi wa kanisa la Kimkunda Parishi ya Kasambya Kyaka,Kanisa linahitaji zaidi ya milioni 50 mpaka hatua ya kuezeka
Hii ndio hatua ilifikiwa ya ujenzi wa kanisa la Kimkunda,ni jitihada zilizofanywa na Profesa Mukandala na Protas Ishengoma mpaka hatua hii
Baba Askofu Methodius Kilain akibaliki jengo
Jiwe la msingi likibarikiwa
Picha ya marehemu Gervas Ishengoma mmoja ya wazee walipenda maendele ya Kagera
Protas Ishengoma akiwa nma familia ya marehemu kaka yake,ambae miaka kumi iliyopita alifariki na leo wanamkumbuka
Msomi Protas Ishengoma akiongea na vyombo vya habari namna alivyookoka kwenye ajali ya ndege na leo anamshukuru mungu kwa misa takatifu
Mrs Mushumbusi
Mjuni Kataraiya akiwasili ene la Ibada
Msomi Protas Ishengoma akisoma neno la mungu,amechangia milioni 30 na familia yake kuchangia ujenzi wa kanisa la Kimkunda kumshukuru mungu kumuokoa katika ajali ya ndege iliyotokea mapema mwaka 2013 mwezi wa nane,zaidi ya milioni 50 zinatakiwa mpaka hatua ya kuezeka kanisa
Bi ADIVE
Baba askofu akibariki kaburi la marehemu mushumbusi aliefariki miaka kumi iliyopita
Mjane wa marehemu akiweka shada la maua
Makaburi ya wazee wa familia ya Ishengoma yakipewa baraka
Mzee Mashasi na swaiba wake Mzee Masabala(kulia)
Mkuu wa wilaya misenye Kanali mstaafu Njiku akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Massawe
Wageni waalikwa
Mh MbungeMwijage Muleba kusini akiendesha zoezi la mnada ujenzi wa kanisa
Bw Mushumbusi amenunua vitu vingi kwenye mnada kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kanisa
Bw Joseph Kahama amechangia milioni tatu na kushiriki mnada wa kuchangia ujenzi wa kanisa
Bw Kazimoto akitoa ahadi yake ya kuchangia kanisa
Mnada wa vitu mbalimbali ukiendelea
Bw Prakesh Parma akipokea baraka kwa Askofu kwa kununua vitu vingi kwenye mnada wa kuchangia ujenzi wa kanisa la Kimkunda kyaka
Profesa Mukandala akitoa mchango wa familia yake kuchangia ujenzi wa kanisa la Kimkunda,amechangia kiasi cha milioni tatu.
Joseph Kahama akisalimiana na Mzee Masabala
Kushoto ni Joseph Kahama,akiwa na rafiki zake Cuthbert Basibila(kulia) Askofu Armachus Rweyongeza wa kanisa katoliki jimbo la kayanga- karagwe,na Paroko wa Kasambya Palishi
Jamco,Mr Joseph Kahama na Cuthbert Basibila
Ongera mambo yamekwenda vizuri
Picha ya pamoja wanafamilia
Kulia ni Bi Adive akiwa na ndugu zake
Kulia ni Alhaji Chuchu, Mzee Mushumbusi na Jamco
No comments:
Post a Comment