article-2523695-1A1DB7B200000578-555_964x636
Ndani ya ukumbi maalum ulioandaliwa kwa ajili ya ibada ya Mzee Nelson Mandela.
article-2523695-1A1DC3D100000578-193_964x605
Mjane wa Marehemu Mzee Nelson Mandela Graca Machel akitafakari maisha ya upweke.
article-2523695-1A1DC57500000578-683_964x583
Mama Winnie Madikizela-Mandela.
article-2523695-1A1DC16200000578-9_964x573
Jeneza la Mzee Nelson Mandela likisindikizwa na kikosi cha Jeshi katika mazishi ya Kitaifa yaliyohudhuriwa na watu mashuhuri Duniani Bill Clinton, Oprah, Prince Charles, Richard Branson na wengine wengi.
article-2524000-1A1DDF3E00000578-687_964x673
article-2524000-1A1DE2EA00000578-779_964x578
Maafisa wa Jeshi nchini Afrika Kusini.
article-2523695-1A1DB85A00000578-869_964x653
Rais wa zamani wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda akisalimiana na Prince Charles.
article-2523695-1A1DCD7500000578-502_964x634
Waombolezaji Oprah Winfrey na mumewe Stedman Graham pamoja na Richard Branson ni miongoni ya watu maarufu ibada ya mazishi ya mzee Nelson Mandela.
article-2524000-1A1DE33200000578-401_964x656
Rais wa zamani wa Afrika Kusini mzee Thabo Mbeki wakifarijiana na  Archbishop Desmond Tutu.
article-2523695-1A1DCBC100000578-308_964x551
Jeneza la Mzee Nelson Mandela pamoja na ngozi ya mnyama kama ishara ya kimila wakati wa ibada maalum.
article-2523695-1A1DC92100000578-132_964x638
Ibada na Salumu za rambi rambizikiendelea kwenye ukumbi maalum kijijini kwa mzee Nelson Mandela ulioingiza wageni 4500 wenye mualiko maalum.
article-2523695-1A1DD15A00000578-870_964x636
Rais Jacob Zuma na familia ya marehemu mzee Nelson Mandela.
article-2524000-1A1DDB5300000578-684_964x567
Wajane wa Marehemu Mzee Nelson Mandela na Rais Jacob Zuma wakati wa ibada.
article-2524000-1A1DFC3B00000578-550_964x567
Binti wa Mzee Nelson Mandela Zindzi akimfariji mmoja wa waombolezaji.
article-2523695-1A1DCED600000578-616_964x588
Mjukuu wa Mzee Nelson Mandela, Mandla Mandela akionekana mwenye majonzi wakati wa ibada maalum ya marehemu babu yake.
Untitled 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa historia fupi ya marehemu Mzee Nelson Mandela pamoja mahusiano ya karibu yaliyopo baina ya Tanzania na Afrika Kusini.
article-2524000-1A1DF3F000000578-507_964x517
Rais wa Malawi Mh. Joyce Banda akitoa salamu za rambi rambi wakati wa ibada.
article-2524000-1A1DFD8A00000578-682_964x578
Binti wa Mzee Nelson Mandela Makaziwe (katikati) akiwa na majonzi mazito kufuatia msiba wa baba yake.
Untitled
Rais Kikwete ni miongoni mwa mbalimbali wanaohudhuria mazishi ya Mzee Nelson Mandela yanayofanyika leo kijinini kwao Qunu nchini Afrika Kusini.
article-2524000-1A1DE3F100000578-671_470x573
Wajane wa Hayati Mzee Nelson Mandela wakiomboleza.
article-2524000-1A1DE48100000578-895_470x573
article-2523695-1A1DC1AA00000578-901_964x631
Wanachama wa ANC wakiimba nyimbo za maombolezo kabla ya shughuli za mazishi kuanza.
article-2523695-1A1A89EF00000578-790_964x637
Jeneza la Mzee Nelson Mandela likipokelewa kimila baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Qunu.
article-2523695-1A1B509200000578-956_964x662
Wajane wa Mzee Nelson Mandela wakibubujikwa na machozi wakati jeneza la Hayati Nelson Mandela likiwasili kijijini Qunu.